Back

ⓘ Suraiya Khanum ikitamkwa pia Surraiya Khanum ; ni mwimbaji mkongwe toka Punjab. Pia anajulikana kwa maonyesho yake yenye kusuza roho na akiimba muziki wa Sufi k ..                                     

ⓘ Suraiya Khanum

Suraiya Khanum (ikitamkwa pia Surraiya Khanum ; ni mwimbaji mkongwe toka Punjab. Pia anajulikana kwa maonyesho yake yenye kusuza roho na akiimba muziki wa Sufi kwenye Televisheni ya Pakistan na vituo vingine.

                                     

1. Kazi

Suraiya Khanum alianza kazi yake ya uimbaji kwenye redio ya Pakistan Radio Multan iliyoko Multan, Pakistan mwaka 1977. Kimuziki alishawishiwa na Ustadhi Muhammad Juman. Ustadhi Nusrat Fateh Ali Khan alimpatia mafunzo kwa miaka 8 na pia alipatiwa mafunzo rasmi na Ustadhi Faiz Ahmed kwa miaka 21. Kimuziki ameshawishiwa na mwanamuziki mkongwe Tufail Niazi pia Reshma na Iqbal Bano. Alionekana kwenye awanu ya nane ya mfululizo wa kipindi halisia cha muziki cha televisheni Coke Studio Pakistan kama msanii mshirikishwaji. Aliimba wimbo maarufu wa harusi na ambao uliimbwa na msanii mkongwe Tufail Niazi "Chirya Da Chamba" akiwa pamoja na Anwar Maqsood uliopongezwa kwa utungwaji na usimulizi mzuri wa barua uliyofanywa na Anwar Maqsood. Ilisemwa kuwa wimbo "uliweka kumbukumbu isiyofutika kwa mashabiki".

                                     

2. Diskografia

Nyimbo

 • Way Main Chori Tere Naal La Layyan Akhhaan Wey wimbo wa Kipunjabi umeandikwa na mshairi Manzoor Hussain Jhalla
 • Saaiyaan
 • Ramzaan KehRay Velay Laaiyan
 • Yaar Toon Kithay Vain
 • Mera Chann Masta
 • Toonba – Turr Multanon Toonba Aaya
 • Raataan Jaagni Aan
 • Bol Mitti Daya Baawia uliimbwa kwa mara ya kwanza na Alam Lohar
 • Bhul Jaania Kisay De Naal Pyaar Na
 • MenDa Ishq Vi Toon wimbo wa Kikafi umeandikwa karne ya 19 na mshairi wa Kisufi, Khawaja Ghulam Farid. Huu wimbo una historia ndefu na uliimbwa hapo awali na Inayat Hussain Bhatti na Pathanay Khan

Coke Studio Pakistan

 • Chiryan Da Chamba 2015 onyesho la wimbo pia akimshirikisha msomaji Anwar Maqsood

Users also searched:

suraiya khanum, usimulizi wa habari. suraiya khanum,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →