Back

ⓘ Apiani wa Kaisarea alikuwa kijana msomi ambaye aliongokea Ukristo. Katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano alijaribu kuzuia ibada ya Kipagani kwa sababu ya imani ..Apiani wa Kaisarea
                                     

ⓘ Apiani wa Kaisarea

Apiani wa Kaisarea alikuwa kijana msomi ambaye aliongokea Ukristo. Katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano alijaribu kuzuia ibada ya Kipagani kwa sababu ya imani yake akachomwa moto na kutoswa baharini.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 2 Aprili.

                                     
  • watakatifu Fransisko wa Paola, Apiani wa Kaisarea Theodora wa Turo, Abondi wa Como, Vikta wa Capua, Niseti wa Lyon, Eustasi wa Luxeuil, Yohane Payne
  • Aprili pamoja na ndugu yake Apiani wa Kaisarea Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu wa Afrika Orodha ya Watakatifu
  • Viktorini na Nise, Afrika Kaskazini Mansueti, Severi, Apiani Donati na Honori, Misri Mansueti wa Urusi, Tunisia Mapaliko, Baso, Fortunio, Paulo, Fortunata
                                     
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

apiani wa kaisarea, habari leo. apiani wa kaisarea,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →