Back

ⓘ Theodora wa Turo alikuwa msichana Mkristo ambaye katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano alijitokea hadharani kupongeza waliokuwa hukumuni kwa sababu ya imani yao ..Theodora wa Turo
                                     

ⓘ Theodora wa Turo

Theodora wa Turo alikuwa msichana Mkristo ambaye katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano alijitokea hadharani kupongeza waliokuwa hukumuni kwa sababu ya imani yao. Hivyo yeye pia aliteswa akakatwa kichwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira mfiadini.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 2 Aprili.

                                     
  • watakatifu Fransisko wa Paola, Apiani wa Kaisarea, Theodora wa Turo Abondi wa Como, Vikta wa Capua, Niseti wa Lyon, Eustasi wa Luxeuil, Yohane Payne
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

theodora wa turo, msichana. theodora wa turo,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →