Back

ⓘ Vikta wa Capua alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 541 akimfuata Jermano wa Capua. Mwenye elimu kubwa, aliandika vitabu mbalimbali kuhusu Biblia na lituruji ..                                     

ⓘ Vikta wa Capua

Vikta wa Capua alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 541 akimfuata Jermano wa Capua.

Mwenye elimu kubwa, aliandika vitabu mbalimbali kuhusu Biblia na liturujia, lakini zimetufikia sehemu tu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                     

1. Marejeo

  • Ferdinando Ughelli, Italia sacra, VI, 306
  • Otto Bardenhewer translator Thomas J. Shahan, Patrology, p. 628.
  • Jean Baptiste Francois Pitra, Spicilegium solesmense, I Paris, 1852, p. 1 sq., 265 sq., 287, 296
  • Theodor Zahn, Forschungen zur Geschichte des neutestamentlichen Kanons, II, 535
                                     
  • watakatifu Fransisko wa Paola, Apiani wa Kaisarea, Theodora wa Turo, Abondi wa Como, Vikta wa Capua Niseti wa Lyon, Eustasi wa Luxeuil, Yohane Payne
  • mwaka wa 1968 Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yoshua, Sisti wa Reims, Prisko wa Capua Terensiani wa Todi
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

vikta wa capua, askofu. vikta wa capua,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →