Back

ⓘ Niseti wa Lyon alikuwa askofu mkuu wa mji huo wa Gaul kwa miaka 20 baada ya ndugu ya mzazi wake Sacherdo wa Lyon aliyefariki mwaka 552. Alijulikana kwa upendo w ..                                     

ⓘ Niseti wa Lyon

Niseti wa Lyon alikuwa askofu mkuu wa mji huo wa Gaul kwa miaka 20 baada ya ndugu ya mzazi wake Sacherdo wa Lyon aliyefariki mwaka 552.

Alijulikana kwa upendo wake kwa maskini na kwa uzinguaji wa pepo.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au tarehe 3 Desemba.

                                     
  • watakatifu Fransisko wa Paola, Apiani wa Kaisarea, Theodora wa Turo, Abondi wa Como, Vikta wa Capua, Niseti wa Lyon Eustasi wa Luxeuil, Yohane Payne
  • Kwintasi, Septimini, Venusti, Beatus, Sekundi, Donati, Sereni, Kresensi, Niseti Vitalis, Firmini, Herakli na Eusebi, Tunisia Kandida, Tunisia Kandidi na
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

niseti wa lyon, askofu. niseti wa lyon,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →