Back

ⓘ Ulpiani wa Turo alikuwa mvulana Mkristo ambaye katika dhuluma ya kaisari Maximian alifungwa ndani ya gunia pamoja na mbwa na nyoka akatoswa baharini. Tangu kale ..                                     

ⓘ Ulpiani wa Turo

Ulpiani wa Turo alikuwa mvulana Mkristo ambaye katika dhuluma ya kaisari Maximian alifungwa ndani ya gunia pamoja na mbwa na nyoka akatoswa baharini.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 3 Aprili.

                                     
  • watakatifu Papa Sisto I, Kresto na Papo, Ulpiani wa Turo Yohane wa Napoli, Niseta wa Medikion, Yosefu Mtungatenzi, Richard wa Chichester, Luigi Scrosoppi n.k
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

ulpiani wa turo, nyoka. ulpiani wa turo,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →