Back

ⓘ Niseta wa Medikion alikuwa abati wa monasteri ya Medikion aliyedhulumiwa sana na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Tangu kale ana ..Niseta wa Medikion
                                     

ⓘ Niseta wa Medikion

Niseta wa Medikion alikuwa abati wa monasteri ya Medikion aliyedhulumiwa sana na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Aprili.

                                     
  • Papa Sisto I, Kresto na Papo, Ulpiani wa Turo, Yohane wa Napoli, Niseta wa Medikion Yosefu Mtungatenzi, Richard wa Chichester, Luigi Scrosoppi n.k. Wikimedia
                                     
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

niseta wa medikion, habari leo. niseta wa medikion,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →