Back

ⓘ Agatopodo na Theodulo walikuwa Mkristo ambao kutokana na imani yao waliuawa kwa kutoswa baharini wamefungiwa jiwe kubwa shingoni wakati wa dhuluma ya dola la Ro ..                                     

ⓘ Agatopodo na Theodulo

Agatopodo na Theodulo walikuwa Mkristo ambao kutokana na imani yao waliuawa kwa kutoswa baharini wamefungiwa jiwe kubwa shingoni wakati wa dhuluma ya dola la Roma.

Agatopodo alikuwa shemasi mzee na Theodulo msomaji kijana.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 4 Aprili.

                                     
  • Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Isidori wa Sevilia, Agatopodo na Theodulo Plato wa Konstantinopoli, Benedikto Mwafrika, Fransisko wa Fatima
  • kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha pia

Users also searched:

agatopodo na theodulo, mzee. agatopodo na theodulo,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →