Back

ⓘ Plato wa Konstantinopoli alikuwa abati mwanzilishi wa monasteri ya Mlima Olimpo huko Bitinia baada ya kuacha kazi yake katika ikulu na kukataa uaskofu. Alitetea ..                                     

ⓘ Plato wa Konstantinopoli

Plato wa Konstantinopoli alikuwa abati mwanzilishi wa monasteri ya Mlima Olimpo huko Bitinia baada ya kuacha kazi yake katika ikulu na kukataa uaskofu.

Alitetea sana heshima ya picha takatifu pamoja na mtoto wa ndugu yake, Theodoro wa Studion wakati wa dhuluma ya serikali ya Dola la Roma Mashariki na katika mtaguso wa pili wa Nisea.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Aprili.

                                     

1. Marejeo

  • Talbot, Alice-Mary & Kazhdan, Alexander, Plato of Sakkoudion, page=1684
  • Lilie, Ralph Johannes 1996. Byzanz unter Eirene und Konstantin VI. 780–802 in German. Frankfurt am Main: Peter Lang. ISBN 3-631-30582-6.
                                     
  • kumbukumbu za watakatifu Isidori wa Sevilia, Agatopodo na Theodulo, Plato wa Konstantinopoli Benedikto Mwafrika, Fransisko wa Fatima, Gaetano Catanoso n.k
  • ilifuata ile ya Plato kumpitia Augustino Antoni alitoka shirika lake Kati ya walimu wa vyuo vikuu aliyeelekeza njia ni Aleksanda wa Hales 1245 aliyemfundisha
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

plato wa konstantinopoli, mtoto. plato wa konstantinopoli,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →