Back

ⓘ Irene wa Thesalonike alikuwa bikira Mkristo ambaye aliteswa akauawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Pengine a ..Irene wa Thesalonike
                                     

ⓘ Irene wa Thesalonike

Irene wa Thesalonike alikuwa bikira Mkristo ambaye aliteswa akauawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Pengine anatajwa pamoja nao ndugu zake Agape na Kionia waliouawa siku chache kabla yake. Labda walitokea Aquileia Italia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 5 Aprili au 3 Aprili.

                                     

1. Marejeo

  • Schiavo, Anthony P. 2018. Merchantville, NJ: Arx Publishing. Includes the complete English translation of the ancient Acts of Agape, Chionia and Irene
  • Attwater, Donald & John, Catherine Rachel. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4.
  • Full online text of Hrotsvithas play, Dulcitius, Fordham University.
                                     
  • kumbukumbu za watakatifu Vincent Ferrer, Irene wa Thesalonike Ferbuta, Wafiadini 120 wa Uajemi, Wafiadini wa Arbal, Jeradi wa Corbie, Katerina Tomas, Maria Kresensya
  • walifariki Thesalonike Ugiriki, 304 walikuwa akina dada mabikira Wakristo ambao waliteswa wakauawa kwa kuchomwa moto kutokana na imani yao wakati wa dhuluma
                                     
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

irene wa thesalonike, habari. irene wa thesalonike,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →