Back

ⓘ Ferbuta alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa pamoja na mjakazi wake kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II kama ilivyomtokea mwaka mmoja kabla ..                                     

ⓘ Ferbuta

Ferbuta alikuwa mwanamke Mkristo aliyeuawa pamoja na mjakazi wake kwa sababu ya imani yao katika dhuluma ya mfalme Sabor II kama ilivyomtokea mwaka mmoja kabla kaka yake askofu mkuu Simeoni Bar-Sabbàeé.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili.

                                     
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Vincent Ferrer, Irene wa Thesalonike, Ferbuta Wafiadini 120 wa Uajemi, Wafiadini wa Arbal, Jeradi wa Corbie, Katerina
                                     
  • Felisita wa Roma Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Felista Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ferbuta Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ferdinando III wa Kastilia Ndiyo Fereolo

Users also searched:

ferbuta, askofu. ferbuta,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →