Back

ⓘ Wafiadini 120 wa Uajemi walikuwa Wakristo, wakiwemo wanaume 111 na wanawake 9, waliouawa kwa kuchomwa hai kwa sababu ya kukataa kumkana Yesu Kristo na kuabudu m ..                                     

ⓘ Wafiadini 120 wa Uajemi

Wafiadini 120 wa Uajemi walikuwa Wakristo, wakiwemo wanaume 111 na wanawake 9, waliouawa kwa kuchomwa hai kwa sababu ya kukataa kumkana Yesu Kristo na kuabudu moto katika dhuluma ya mfalme Sabor II.

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Aprili.

                                     
  • za watakatifu Vincent Ferrer, Irene wa Thesalonike, Ferbuta, Wafiadini 120 wa Uajemi Wafiadini wa Arbal, Jeradi wa Corbie, Katerina Tomas, Maria Kresensya

Users also searched:

wafiadini 120 wa uajemi, mfalme. wafiadini 120 wa uajemi,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →