Back

ⓘ Nada Topčagić. Kazi yake ilianza mwaka 1975, kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, Na Drini ćuprija Daraja juu ya Drina”, uliyoandikwa na Obren Pjevović. Alikuwa maar ..                                     

ⓘ Nada Topčagić

Kazi yake ilianza mwaka 1975, kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, "Na Drini ćuprija" Daraja juu ya" Drina”, uliyoandikwa na Obren Pjevović. Alikuwa maarufu sana kipindi cha miaka ya 1980 ingawa bado anasikika mpaka leo. Mwezi mmoja baada ya kuanguka kwa Vukovar kwenye vita vya uhuru vya Kroatia, kwenye majira ya baridi ya 1991-92, yeye, Era Ojdanić na Mira Kosovka waliimba katika tamasha kwa ajili ya wanajeshi wa Kiserbia kwenye mji uliotekwa. Kulingana na yeye, alilazimishwa na kikosi cha jeshi kuimba katika tamasha. Mwaka 2021, mchezaji wakiswedishi Zlatan Ibrahimović alitumia kipande cha wimbo wake "Jutro je" Ni Asubuhi katika Tamasha la Muziki la Sanremo. Kipande cha muziki baadae kilipata umaarufu mkubwa.

                                     

1. Maisha binafsi

Topčagić alitoka Bosnia na Herzegovina na kwenda Belgrade muda fulani kabla ya kutoa wimbo wake wa kwanza 1975. Nada anaishi na kufanya kazi. Ameolewa na Zlatko Dordević, pamoja naye ana mtoto wa kiume, Miroslav alizaliwa 1984.

Users also searched:

nada topčagić, jeshi. nada topčagić,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →