Back

ⓘ Irenei wa Srijem alikuwa askofu kijana aliyekatwa kichwa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Maximian. Hakujali mateso yaliyotangulia wala mabemb ..                                     

ⓘ Irenei wa Srijem

Irenei wa Srijem alikuwa askofu kijana aliyekatwa kichwa kwa sababu ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Maximian.

Hakujali mateso yaliyotangulia wala mabembelezo ya wazazi, mke na watoto wake.

Ndiyo maana anaheshimiwa tangu zamani na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 6 Aprili.

                                     
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Irenei wa Srijem Eutikyo wa Konstantinopoli, Galla wa Roma, Wiliamu wa Eskill, Petro wa Verona, Paulo Le Bao Tinh n.k.
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

irenei wa srijem, askofu. irenei wa srijem,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →