Back

ⓘ Eutikyo wa Konstantinopoli alikuwa Patriarki wa mji huo kuanzia mwaka 552 hadi 565 halafu tena kutoka mwaka 577 hadi kifo chake. Katikati alipelekwa uhamisho kw ..Eutikyo wa Konstantinopoli
                                     

ⓘ Eutikyo wa Konstantinopoli

Eutikyo wa Konstantinopoli alikuwa Patriarki wa mji huo kuanzia mwaka 552 hadi 565 halafu tena kutoka mwaka 577 hadi kifo chake. Katikati alipelekwa uhamisho kwa kutetea imani sahihi.

Alisimamia Mtaguso wa pili wa Konstantinopoli 553.

Maandishi yake machache yametufikia

Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Aprili.

                                     
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Irenei wa Srijem, Eutikyo wa Konstantinopoli Galla wa Roma, Wiliamu wa Eskill, Petro wa Verona, Paulo Le Bao Tinh n.k. Wikimedia
                                     
  • Marsia, Vikta, Stefano na Januari, Afrika Kaskazini Eutikyo Misri Eutimio wa Aleksandria, Misri Eutropia wa Aleksandria, Misri Evasi na Privati, Afrika Kaskazini
                                     
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

eutikyo wa konstantinopoli, habari leo. eutikyo wa konstantinopoli,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →