Back

ⓘ Petro wa Verona, O.P. alikuwa padri wa Italia Kaskazini na mmojawapo kati ya Wadominiko waliofia dini nchini mwake. Wazazi wake walikuwa wafuasi wa Mani, lakini ..Petro wa Verona
                                     

ⓘ Petro wa Verona

Petro wa Verona, O.P. alikuwa padri wa Italia Kaskazini na mmojawapo kati ya Wadominiko waliofia dini nchini mwake.

Wazazi wake walikuwa wafuasi wa Mani, lakini mwenyewe utotoni alijiunga na Kanisa Katoliki halafu ujanani Dominiko Guzman alimpokea katika shirika lake jipya.

Kama alivyotamani na kuomba, aliuawa na mzushi akiwa njiani kati ya Milano na Como. Baadaye muuaji wake, Karino wa Balsamo, alitubu na kujiunga na utawa kama bruda, naye anaheshimiwa kama mwenye heri.

Petro anaheshimiwa kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Inosenti IV tarehe 9 Machi 1253, upesi kuliko mwingine yeyote.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Aprili.

                                     

1. Marejeo

  • Dondaine, Fr. Antoine, O.P. "Saint Pierre Martyr" Archivum Fratrum Praedicatorum 23 1953: 66-162.
  • Prudlo, Donald. "The Assassin-Saint: The Life and Cult of Carino of Balsamo", Catholic Historical Review, 94 2008: 1-21.
  • Prudlo, Donald. The Martyred Inquisitor: The Life and Cult of Peter of Verona +1252. Aldershot: Ashgate Press, 2008.
                                     

2. Viungo vya nje

  • Guide to Pietro da Verona, Rubricae super quartum et quintum decretalium. Manuscript, 1519 at the University of Chicago Special Collections Research Center
  • Butler, Alban. The Lives of the Saints, Volume IV: April, 1866
                                     
  • kumbukumbu za watakatifu Irenei wa Srijem, Eutikyo wa Konstantinopoli, Galla wa Roma, Wiliamu wa Eskill, Petro wa Verona Paulo Le Bao Tinh n.k. Wikimedia
  • Misri Zeno wa Verona Algeria Abadir, Iraya na wenzao, Misri Abadiu wa Antinoe, Misri Abaidus, Ethiopia Abamun wa Tarnut, Misri Abamun wa Tukh, Misri Abanubi
  • walipokuwa watoto. Daniele aliacha wazazi wake alipokuwa na miaka 12 na alienda Verona kusoma kwenye shule ya padri Nicola Mazza ambapo alichagua kuwa padri na
                                     
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

petro wa verona, papa. petro wa verona,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →