Back

ⓘ Egesipo alikuwa Myahudi aliyeongokea Ukristo akawa mwandishi wa vitabu juu ya historia ya Kanisa na dhidi ya wazushi. Sehemu chache tu zimetufikia. Mwenyeji wa ..                                     

ⓘ Egesipo

Egesipo alikuwa Myahudi aliyeongokea Ukristo akawa mwandishi wa vitabu juu ya historia ya Kanisa na dhidi ya wazushi. Sehemu chache tu zimetufikia.

Mwenyeji wa Mashariki ya Kati, aliishi miaka ishirini huko Roma.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili.

                                     
  • Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Baptista de La Salle, Egesipo Pelusi wa Aleksandria, Theodoro wa Pentapoli, Irenei wa Pentapoli, Serapioni
  • Efrem wa Syria Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Egbert wa Ripon Ndiyo Ndiyo Ndiyo Egesipo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Egidi, Luis, Yohane na Paulo Ndiyo Ndiyo Ndiyo

Users also searched:

egesipo, historia ya afrika. egesipo,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →