Back

ⓘ Kaliopi alikuwa kijana Mkristo wa Perge ambaye aliuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma. Inasemekana alisulubiwa ..Kaliopi
                                     

ⓘ Kaliopi

Kaliopi alikuwa kijana Mkristo wa Perge ambaye aliuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma.

Inasemekana alisulubiwa kichwa chini miguu juu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 7 Aprili.

                                     
  • Pentapoli, Irenei wa Pentapoli, Serapioni wa Pentapoli, Amoni wa Pentapoli, Kaliopi Askari wafiadini wa Sinope, Joji wa Mitilene, Henri Walpole, Petro Nguyen
  • Basilisa Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Kaliniko na wenzake Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Kaliopi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Kalisti I Ndiyo Ndiyo Kalisti Caravario

Users also searched:

kaliopi, mbegu za wakristo. kaliopi,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →