Back

ⓘ Askari wafiadini wa Sinope ni kundi la askari 200 ambao waliongokea Ukristo na kha hiyo waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus. Tangu kale wanaheshimiw ..                                     

ⓘ Askari wafiadini wa Sinope

Askari wafiadini wa Sinope ni kundi la askari 200 ambao waliongokea Ukristo na kha hiyo waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 7 Aprili.

                                     
  • wa Aleksandria, Theodoro wa Pentapoli, Irenei wa Pentapoli, Serapioni wa Pentapoli, Amoni wa Pentapoli, Kaliopi, Askari wafiadini wa Sinope Joji wa Mitilene

Users also searched:

askari wafiadini wa sinope, mbegu za wakristo. askari wafiadini wa sinope,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →