Back

ⓘ Joji wa Mitilene alikuwa mmonaki halafu mkaapweke ambaye kwa sifa zake alichaguliwa bado kijana kuwa askofu mkuu wa Mitilene miaka 804-815. Alidhulumiwa na kais ..                                     

ⓘ Joji wa Mitilene

Joji wa Mitilene alikuwa mmonaki halafu mkaapweke ambaye kwa sifa zake alichaguliwa bado kijana kuwa askofu mkuu wa Mitilene miaka 804-815. Alidhulumiwa na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Alipopelekwa uhamishoni alishika tena maisha ya mkaapweke hadi kifo chake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili.

                                     
  • wa Aleksandria, Theodoro wa Pentapoli, Irenei wa Pentapoli, Serapioni wa Pentapoli, Amoni wa Pentapoli, Kaliopi, Askari wafiadini wa Sinope, Joji wa Mitilene
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

joji wa mitilene, mbegu za wakristo. joji wa mitilene,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →