Back

ⓘ Henri Walpole, S.J. alikuwa padri Mjesuiti kutoka Uingereza. Baada ya kushuhudia kifodini cha Edmundi Campion 1581 alishika imani hadi kupewa upadrisho huko Par ..Henri Walpole
                                     

ⓘ Henri Walpole

Henri Walpole, S.J. alikuwa padri Mjesuiti kutoka Uingereza.

Baada ya kushuhudia kifodini cha Edmundi Campion 1581 alishika imani hadi kupewa upadrisho huko Paris, Ufaransa 1588, alijiunga pia na Wajesuiti.

Alipokuwa tena Uingereza kufanya utume kinyume cha sheria za nchi alikamatwa na hatimaye alinyongwa na kuraruliwa vipandevipande.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XI mwaka 1929 na mtakatifu na Papa Paulo VI mwaka 1976.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 7 Aprili.

                                     
  • wa Pentapoli, Kaliopi, Askari wafiadini wa Sinope, Joji wa Mitilene, Henri Walpole Petro Nguyen Van Luu n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 7 Aprili
  • Heliodori na Venusti Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Henri II Ndiyo Ndiyo Henri Morse Ndiyo Henri Walpole Ndiyo Heraklemon Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo

Users also searched:

henri walpole, aprili. henri walpole,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →