Back

ⓘ Erodioni, Asinkrito na Flego walikuwa wanaume Wakristo wa karne ya 1 waliotajwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 16:11, 14. Erodioni alikuwa ndugu wa mtu ..Erodioni, Asinkrito na Flego
                                     

ⓘ Erodioni, Asinkrito na Flego

Erodioni, Asinkrito na Flego walikuwa wanaume Wakristo wa karne ya 1 waliotajwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 16:11, 14.

Erodioni alikuwa ndugu wa mtume huyo na inasemekana baadaye alipata kuwa askofu wa Patraso Ugiriki au Tarso Kilikia, leo nchini Uturuki na hatimaye alifia imani.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Aprili.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Apostle Asyncritus, of the Seventy and those with him, April 8 OCA
  • 1
  • Apostle Herodion of the Seventy, and those with Him, April 8 OCA
  • Apostle Rodion of the Seventy, November 10 OCA
  • Apostle Phlegon of the Seventy and those with him OCA
  • Apostle Asyncritus of the Seventy, January 4 OCA
  • Agavos, Rouphos, Asynkritos, Phlegon, Herodion, & Hermes of the 70 Apostles GOARCH
  • Apostle Herodion of the Seventy, January 4 OCA
                                     
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Agabo, Erodioni Asinkrito na Flego Denis wa Korintho, Timotheo, Diogeni na wenzao, Dionisi wa Aleksandria, Amansi wa
                                     
  • kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha pia

Users also searched:

erodioni, asinkrito na flego, watu wa ugiriki. erodioni, asinkrito na flego,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →