Back

ⓘ Denis wa Korintho alikuwa askofu wa Korintho katika karne ya 2. Mwaka 171 alimuandikia Papa Soter, lakini zimetufikia pia sehemu za barua zake nyingine zinazoon ..                                     

ⓘ Denis wa Korintho

Denis wa Korintho alikuwa askofu wa Korintho katika karne ya 2.

Mwaka 171 alimuandikia Papa Soter, lakini zimetufikia pia sehemu za barua zake nyingine zinazoonyesha juhudi zake katika utume.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Aprili.

                                     
  • . Habari zake tunazipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea, kwa Denis wa Korintho na kwa Jeromu. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki
  • Agabo, Erodioni, Asinkrito na Flego, Denis wa Korintho Timotheo, Diogeni na wenzao, Dionisi wa Aleksandria, Amansi wa Como, Julia Billiart n.k. Wikimedia
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

denis wa korintho, maaskofu wakatoliki. denis wa korintho,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →