Back

ⓘ Akasi wa Amida alikuwa askofu wa mji huo aliyepata umaarufu kwa kuuza vyombo vya ibada ili kukomboa Waajemi 7.000 waliotekwa na Warumi na kuachwa bila chakula B ..                                     

ⓘ Akasi wa Amida

Akasi wa Amida alikuwa askofu wa mji huo aliyepata umaarufu kwa kuuza vyombo vya ibada ili kukomboa Waajemi 7.000 waliotekwa na Warumi na kuachwa bila chakula

Baadaye hao waliongokea Ukristo naye aliwarudisha kwao. Tendo hilo lilimgusa mtawala wa Uajemi na kuandaa magungumzo ya amani.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Catholic Encyclopedia: Socrates Scholasticus "Church History" Book VII Chapter 21 - Kind Treatment of the Persian Captives by Acacius Bishop of Amida
                                     
  • za watakatifu Masimo wa Aleksandria, Edesi wa Aleksandria, Dimitri wa Thesalonike, Eupsiki, Libori, Akasi wa Amida Vatrude, Ugo wa Rouen n.k. Wikimedia
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

akasi wa amida, waliozaliwa karne ya 4. akasi wa amida,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →