Back

ⓘ Vatrude, alikuwa mwanamke aliyeanzisha monasteri na kuiongoza kama abesi. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira. Siku ..Vatrude
                                     

ⓘ Vatrude

Vatrude, alikuwa mwanamke aliyeanzisha monasteri na kuiongoza kama abesi.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu bikira.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

                                     

1. Maisha

Mtoto wa wazazi wa koo mashuhuri, Walbert na Bertila, aliolewa na Madelgari na kumzalia watoto 4, ambao wote saba ni watakatifu.

Watoto walipokuwa wamekua, mumewe alitawa, na miaka miwili baadaye hata yeye alijifungia upwekeni, ila alifuatwa na wanawake wengi.

                                     
  • Aleksandria, Dimitri wa Thesalonike, Eupsiki, Libori, Akasi wa Amida, Vatrude Ugo wa Rouen n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 9 Aprili BBC: On
  • ambaye akawa baadaye mtakatifu Walbert. Pia mama yake Bertila na dada yake Vatrude ni watakatifu. Baada ya kukataa kuolewa, alitawa. Alivumilia kwa ushujaa
  • Ndiyo Valeriko Ndiyo Ndiyo Ndiyo Varo na wenzake Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Vatrude Ndiyo Ndiyo Ndiyo Vedasto wa Arras Ndiyo Ndiyo Ndiyo Venansi, Anastasi

Users also searched:

vatrude, wanawake wa afrika. vatrude,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →