Back

ⓘ Ugo wa Rouen alikuwa askofu wa Rouen, Ufaransa kuanzia mwaka 722. Mtoto wa ukoo wa kifalme, alijiunga na monasteri mwaka 718, na mwishoni mwa maisha yake alirud ..Ugo wa Rouen
                                     

ⓘ Ugo wa Rouen

Ugo wa Rouen alikuwa askofu wa Rouen, Ufaransa kuanzia mwaka 722.

Mtoto wa ukoo wa kifalme, alijiunga na monasteri mwaka 718, na mwishoni mwa maisha yake alirudi huko.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

                                     

1. Vyanzo vikuu

  • Gesta Hugonis archiepiscopi Rotomagensis in the Gesta sanctorum patrum Fontanellensis coenobii dated between about 833 and 840, ed. Samuel Löwenfeld. Gesta Abbatum Fontanellensium. MGH Scriptores rer. Germ. 28. Hanover, 1886 reprinted 1980. 26-8; ed. F. Lohier and J. Laporte. Gesta sanctorum patrum Fontanellensis coenobii. Société de lhistoire de Normandie. Rouen, 1936. 37–43.
  • Another ninth-century Vita, associated with Jumièges, ed. Joseph van der Straeten, "Vie inédite de S. Hugues évêque de Rouen." Analecta Bollandiana 87 1969: 215–60. Based primarily on Rouen BM 1377 U 108 f. 135r-150r.
  • Baldric of Dol, Vita S. Hugonis, ed. MPL 166. 1163–72. Available online from the Documenta Catholica Omnia
                                     

2. Vyanzo vingine

  • Urdang, Laurence. Holidays and Anniversaries of the World. Detroit: Gale Research Company, 1985. ISBN 0-8103-1546-7.
  • Lifshitz, Felice. The Norman Conquest of Pious Neustria: Historiographic Discourse and Saintly Relics, 684-1090. Studies and Texts 122. Toronto: Pontifical Institute of Mediaeval Studies, 1995.
                                     
  • watakatifu Masimo wa Aleksandria, Edesi wa Aleksandria, Dimitri wa Thesalonike, Eupsiki, Libori, Akasi wa Amida, Vatrude, Ugo wa Rouen n.k. Wikimedia Commons
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

ugo wa rouen, maaskofu wakatoliki. ugo wa rouen,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →