Back

ⓘ Isaka wa Monteluco anakumbukwa kama mmonaki kutoka Syria aliyeanzisha monasteri karibu na Spoleto. Papa Gregori I alimsifu katika kitabu chake Majadiliano. Tang ..                                     

ⓘ Isaka wa Monteluco

Isaka wa Monteluco anakumbukwa kama mmonaki kutoka Syria aliyeanzisha monasteri karibu na Spoleto.

Papa Gregori I alimsifu katika kitabu chake Majadiliano.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Aprili

                                     
  • kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina, Domnio, Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Monteluco Gemma Galgani n.k. Wikimedia Commons
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

isaka wa monteluco, papa gregori i. isaka wa monteluco,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →