Back

ⓘ Filipo wa Gortina alikuwa Askofu wa Gortina, katika kisiwa cha Krete ambaye alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi. Habari zake tunazipata kutoka kwa mw ..                                     

ⓘ Filipo wa Gortina

Filipo wa Gortina alikuwa Askofu wa Gortina, katika kisiwa cha Krete ambaye alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi.

Habari zake tunazipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea, kwa Denis wa Korintho na kwa Jeromu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Aprili.

                                     

1. Marejeo

  • New Schaff-Herzog Encyclopedia of Religious Knowledge, Vol. IX: Petri – Reuchlin
  • Eusebius, Hist. eccl., IV., xxiii. 5; Eng. transl., NPNF, 2 ser., i. 201
                                     
  • kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina Domnio, Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Monteluco, Gemma Galgani n.k. Wikimedia Commons
                                     
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

filipo wa gortina, maaskofu wakatoliki. filipo wa gortina,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →