Back

ⓘ Makari wa Gent alikuwa Mkristo wa Armenia ya Kale ambaye alidhulumiwa kwa ajili ya imani yake akahamia Ulaya. Inasemekana alikuwa askofu. Aliishi katika monaste ..                                     

ⓘ Makari wa Gent

Makari wa Gent alikuwa Mkristo wa Armenia ya Kale ambaye alidhulumiwa kwa ajili ya imani yake akahamia Ulaya.

Inasemekana alikuwa askofu.

Aliishi katika monasteri ya Gent mwaka mmoja hadi akafa kwa tauni.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Aprili.

                                     
  • mwaka wa 2010 Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Terensi na wenzake, Apoloni wa Aleksandria, Makari wa Gent Mikaeli
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

makari wa gent, waliozaliwa 1815. makari wa gent,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →