Back

ⓘ Mikaeli wa Watakatifu alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukom ..Mikaeli wa Watakatifu
                                     

ⓘ Mikaeli wa Watakatifu

Mikaeli wa Watakatifu alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa shirika la Watrinitari, yaani watawa wa Utatu mtakatifu, waliojitoa kabisa kwa ajili ya kukomboa Wakristo waliotekwa utumwani.

Alijiunga na urekebisho wa shirika hilo lililofanywa na Yohane Mbatizaji Garcia kwa kuanzisha tawi la Watrinitari Peku kwa kufuata mfano wa Teresa wa Yesu.

Pia aliandika vitabu vichache juu ya maisha ya kiroho zake za pekeekufuatana na mangamuzi na karama.

Alitangazwa na Papa Pius VII kuwa mwenyeheri tarehe 26 Septemba 1819, halafu Papa Paulo VI alimtangaza mtakatifu tarehe 25 Mei 1975.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Aprili.

                                     
 • Fransisko wa Mt. Mikaeli alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Pekupeku kutoka Hispania na mmisionari aliyefia dini Japani 1597 Anaheshimiwa na
 • Mikaeli wa Aozaraza, O.P. Honyati, 7 Februari 1598 - Nagasaki, 29 Septemba 1637 alikuwa padri kutoka Hispania na mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa
 • Malaika Mikaeli kwa Kiebrania מ יכ א ל, Micha el au Mîkhā ēl, maana yake Nani kama Mungu kwa Kigiriki Μιχαήλ, Mikhaḗl kwa Kiarabu ميخائيل, Mīkhā īl
 • Mikaeli Kozaki alikuwa Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko aliyefia dini nchini Japani 1597 Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini
 • Mikaeli I wa Aleksandria alifariki 12 Machi 767 kuanzia mwaka 743 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria Misri na Papa wa 46 wa Kanisa la
 • Mikaeli Garicoits kwa Kieuskara Mixel Garikoitz, kwa Kifaransa Michel Garicoïts alikuwa padri wa Ufaransa mwenye asili ya Kibaski Ibarre, 15 Aprili
 • Mikaeli wa Sinnada alifariki Suhut, Frigia, Uturuki wa leo, 23 Mei 826 alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 784 787 hadi 815. Alishiriki Mtaguso
 • Mikaeli Kurobioye alifariki Nagasaki, 17 Agosti 1633 alikuwa katekista kutoka Japani na mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa Katoliki waliofia dini
 • Mikaeli V wa Aleksandria alifariki 29 Machi 1146 kuanzia mwaka 1145 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria Misri na Papa wa 71 wa Kanisa
                                     
 • Mikaeli II wa Aleksandria alifariki 17 Aprili 851 kuanzia mwaka 849 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria Misri na Papa wa 53 wa Kanisa
 • Mikaeli III wa Aleksandria alifariki 16 Machi 907 kuanzia mwaka 880 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria Misri na Papa wa 56 wa Kanisa
 • Mikaeli IV wa Aleksandria alifariki 25 Mei 1102 kuanzia mwaka 1092 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria Misri na Papa wa 68 wa Kanisa la
 • pia: Za - Mika el Aragawi au Mikaeli wa Aragave alikuwa mmonaki wa karne ya 6, mfuasi wa Pakomi. Anatajwa kama mwanzilishi wa monasteri ya Debre Damo katika
 • Februari Martino wa Kupaa, padri mfiadini 1597 6 Februari Fransisko Blanco, padri mfiadini 1597 6 Februari Fransisko wa Mt. Mikaeli mfiadini 1597
 • Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa
 • Mikaeli My Huy Nguyen 1804 - 1838 ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17
 • Mikaeli Dinh - Hy Ho 1808 - 1857 ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18
 • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha
                                     
 • mwenza wa Facebook 649 - Papa Theodor I 964 - Papa Yohane XII 1863 - Mtakatifu Mikaeli Garikoitz, padri wa Ufaransa 1940 - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala
 • kumbukumbu za watakatifu Eutiki wa Marmara, Ripsime na wenzake, Fraterno wa Auxerre, Siriaki wa Palestina, Yohane wa Dukla, Mikaeli wa Aozaraza na wenzake
 • Jordano Ansalone Lazaro wa Kyoto Luka Alonso Marina wa Omura Magdalena wa Nagasaki Mathayo Kohioye Mikaeli wa Aozaraza Mikaeli Kurobioye Thomas Rokuzayemon
 • mapadri watakatifu Ignas wa Loyola na Fransisko Saveri, waanzilishi wa Shirika la Yesu, na Mikaeli Garicoits, mwanzilishi wa Mapadri na mabradha wa Betharram
 • Terensi na wenzake, Apoloni wa Aleksandria, Makari wa Gent, Mikaeli wa Watakatifu Magdalena wa Canossa n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 10 Aprili
 • Melkiori García Sampedro, O.P., askofu mmisionari kutoka Hispania Mikaeli Dinh - Hy Ho Mikaeli My Huy Nguyen Nikolasi Thé Duc Bui Paulo Duong Paulo Hanh Paulo
 • Desideri wa Langres, Eutisi wa Nursia, Spes wa Nursia, Mikaeli wa Sinnada, Yohane Mbatizaji wa Rossi n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 23 Mei BBC:
 • kumbukumbu za watakatifu Miro wa Kuziko, Mamas wa Kaisarea, Papa Eusebius, Klara wa Montefalco, Beatriz wa Silva, Yakobo Kyushei Tomonaga, Mikaeli Kurobioye
 • II na wenzake, Gaetano wa Thiene, Afra, Donati wa Arezzo, Donasiani wa Chalons, Vitrisi wa Rouen, Donati wa Besancon, Mikaeli de la Mora n.k. Wikimedia
 • Kasto na Emilio, Basilisko wa Gumenek, Julia wa Corsica, Ausoni wa Angouleme, Atoni wa Pistoia, Mikaeli Ho Dinh Hy, Dominiko Ngon n.k. Wikimedia Commons
 • Mikaeli Garicoits, padri kutoka Ufaransa 1874 - Johannes Stark, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919 1896 - Nikolay Semyonov, mshindi wa
 • jina la Mikaeli mjini Thesalonike au Saloniki katika Ugiriki ya kaskazini wakati wa enzi za Dola la Bizanti kama mtoto wa Leontios askari wa Kibizanti

Users also searched:

mikaeli wa watakatifu, waliozaliwa 1819. mikaeli wa watakatifu,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →