Back

ⓘ Domnio alikuwa askofu wa Salona aliyeuawa kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya Dola la Roma kwa sababu ya imani yake. Inasemekana aliuawa pamoja na Wakristo wen ..Domnio
                                     

ⓘ Domnio

Domnio alikuwa askofu wa Salona aliyeuawa kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya Dola la Roma kwa sababu ya imani yake.

Inasemekana aliuawa pamoja na Wakristo wengine 7 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 11 Aprili.

                                     
  • kumbukumbu za watakatifu Stanislaus, Antipa wa Pergamo, Filipo wa Gortina, Domnio Barsanufi wa Gaza, Isaka wa Monteluco, Gemma Galgani n.k. Wikimedia Commons
  • wa Sora Ndiyo Ndiyo Ndiyo Domnina wa Ainvarza Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Domnio Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Donasiani na Rogasiani Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Donasiani

Users also searched:

domnio, kichwa. domnio,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →