Back

ⓘ Katibu Mkuu Kiongozi ni katibu mkuu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mtendaji mkuu katika utumishi wa umma na katibu wa baraza la mawaziri. Ndiye ..                                     

ⓘ Katibu Mkuu Kiongozi

Katibu Mkuu Kiongozi ni katibu mkuu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mtendaji mkuu katika utumishi wa umma na katibu wa baraza la mawaziri. Ndiye mshauri mkuu wa rais katika mambo yanayohusiana na nidhamu katika utumishi wa umma.

                                     

1. Orodha ya Makatibu Wakuu

Hii ni orodha ya makatibu wakuu tangu uhuru wa Tanzania hadi sasa

 • Ombeni Yohana Sefue 2012-2016
 • Dunstan A. Omary 1962- 1964
 • Tomothy Apiyo 1974-1986
 • Paul M. Rupia 1986-1995
 • Dickson A. Nkembo 1967-1974
 • Martene Y.C Lumbanga 1995-2006
 • Bashiru Ally 2021-2021
 • John William Kijazi 2016-2021
 • Joseph A. Namata 1964-1967
 • Hussen Yahya Katanga 2021
 • Philimon L. Luhanjo 2006-2011
                                     
 • Kijazi 18 Novemba 1956 - 17 Februari 2021 hadi kifo chake alikuwa katibu mkuu kiongozi katika utawala wa rais John Pombe Magufuli. Alisoma uhandisi kwenye
 • wa idara za wizara ambao huitwa Katibu Mkuu kwa Kiingereza: Principal Secretary Katibu Mkuu ni cheo cha kiongozi wa baadhi ya vyama vya wafanyakazi
 • Katanga ni katibu Mkuu Kiongozi katika serikali ya Tanzania chini ya utawala wa rais mpya, Mama Samia Suluhu Hassan. Aliteuliwa kuwa katibu mkuu tarehe 31
 • Timothy Apiyo 1930 - 10 Juni 2013 alikuwa mwanasiasa na Katibu Mkuu Kiongozi nchini Tanzania Timothy Apiyo alizaliwa katika wilaya ya Tarime mwaka
 • ni kiongozi wa serikali nzima huitwa Waziri Mkuu au kansela Ujerumani na Austria Katika baadhi ya nchi k.v. Marekani, Kenya na Ufilipino, kiongozi wa
 • msaidizi wa waziri katika wizara husika. Katika baadhi ya nchi, k.v. Marekani, Kenya na Ufilipino, naibu kiongozi wa wizara huitwa Naibu Katibu Mkuu
 • Mkuu wa dola pia: Mkuu wa nchi wa nchi ni kiongozi mwenye cheo kikuu. Lakini si lazima ya kwamba mkuu wa dola ana madaraka mengi sana. Hali inategemea
 • Mohammed Abdelaziz ni katibu mkuu wa Polisario na rais wa Jamhuri ya Sahara ya Kidemokrasia ya Kiarabu inayodai kuwa dola la Sahara ya Magharibi. Alikuwa
 • Waziri Mkuu wa Norwei kwanza tangu Machi 2000 mpaka Oktoba 2001, halafu tena kati ya Oktoba 2005 na Oktoba 2013. Tangu Oktoba 2014, yeye ni Katibu Mkuu wa
                                     
 • mwanasiasa wa Laos ambaye amekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi cha Watu wa Lao kiongozi de facto na Rais wa Laos mkuu wa nchi kisheria tangu mwaka
 • Kiongozi Mkuu wa pili wa Korea Kaskazini kutoka mwaka 1994 hadi 2011. Aliongoza Korea Kaskazini kutoka kifo cha baba yake Kim Il - Sung, Kiongozi Mkuu wa
 • Tarehe 26 Februari 2021 aliteuliwa na rais John Pombe Magufuli kuwa katibu mkuu kiongozi lakini tarehe 31 Machi 2021 aliteuliwa na rais mpya Mama Samia
 • 1955 alikuwa kiongozi wa YMCA na mashirikia mengine ya kikristo kutoka nchi ya Marekani. Kuanzia mwaka wa 1895 hadi 1920 alikuwa katibu mkuu wa Chama cha
 • Dunstan A. Omary 9 Agosti 1922 alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa kwanza wa Tanganyika baada ya kupata Uhuru na wa Tanzania baada ya Muungano wa Tanganyika
 • mwanasiasa wa Vietnam ambaye ni Katibu Mkuu wa sasa wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam, hivyo halisi ni kiongozi mkuu wa Vietnam tangu tarehe 19 Januari
 • serikali ndiye mwanasiasa kiongozi wa serikali na huwajibika kwa chumba kimoja cha bunge. Hata hivyo, yeye pia huripoti kwa mkuu wa dola. Katika serikali
 • ambazo ni Naibu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Serikali za Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Agustino Tanzania na hatimaye kuwa Kiongozi wa Kitaifa ambapo
 • Waziri Mkuu kutoka 2006 hadi 2007, na kama Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri wakati wa awamu ya pili ya Abe kutoka 2012 hadi 2020. Muda wake kama Katibu Mkuu
 • Agosti 1954 ni mwanadiplomasia wa Tanzania aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tarehe 31 Desemba 2011. Pia aliwahi kuwa mwakilishi wa kudumu katika


                                     
 • Wandebele walisimama upande wa Sithole au kwa upande wa ZAPU. Katibu Mkuu Robert Mugabe alikuwa kiongozi mpya wa ZANU. Baada ya amani ya Lancaster House ZANU chini
 • tofauti ya wizara zake. Wizara huwa na idara tofauti ambazo huongozwa na katibu mkuu Wizara ya Ulinzi na ya Mambo ya Ndani na Uratibu wa Kitaifa ziko chini
 • kansela, ni cheo cha mkuu wa serikali, lakini si mkuu wa dola, katika Ujerumani na Austria. Kinafanana na cheo cha waziri mkuu Machansela wa Austria
 • Kidemokrasia ya Kongo. Mwishoni mwa mwaka 2008, Tshisekedi alitajwa kuwa Katibu Mkuu wa UDPS wa mahusiano ya nje. Mnamo Novemba 2011, alipata kiti katika
 • 1931 ni mwanasiasa wa Urusi aliyekuwa kiongozi wa nane na wa mwisho wa Umoja wa Kisovyeti. Alikuwa katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha Umoja wa Kisovyeti
 • Archived Septemba 1, 2009 at the Wayback Machine. Francis Muthaura, Katibu Mkuu wa huduma za za umma na Baraza la Mawaziri, Kenya Edward H Ntalami, Mkurugenzi
 • Андропов 15 Juni 1914 - 9 Februari 1984 alikuwa kiongozi wa sita wa Umoja wa Sovyeti na Katibu Mkuu wa nne wa Chama cha Kikomunisti cha Umoja wa Kisovyeti
 • huwa na viongozi wafuatao: kiongozi wa nchi k.v. rais, mfalme, malkia au kiongozi mkuu kabisa kiongozi wa serikali - waziri mkuu katika serikali za kibunge
 • National Union ZANU kiliundwa mnamo 1963 huku Robert Mugabe akiwa Katibu wake Mkuu Shirikisho la Rhodesia na Nyasaland lilivunjwa mnamo Dsemba 31, 1963
                                     
 • Yamashita, mshindani wa Judo kutoka Japani 6 Agosti - John Hocking, Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa kutoka Australia 14 Septemba - François
 • 29 Oktoba 1948 katika kijiji cha Kwermusi, wilaya ya Mbulu. Alikuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA chama kinachoongoza mpaka

Users also searched:

katibu mkuu kiongozi,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →