Back

ⓘ Liberata Mulamula ni mwanadiplomasia wa Tanzania na tangu Machi 2021 waziri wa mambo ya nje. Tangu mwaka 2015 alihudumia kama katibu mkuu wa wizara hiyo. Aliwah ..Liberata Mulamula
                                     

ⓘ Liberata Mulamula

Liberata Mulamula ni mwanadiplomasia wa Tanzania na tangu Machi 2021 waziri wa mambo ya nje. Tangu mwaka 2015 alihudumia kama katibu mkuu wa wizara hiyo. Aliwahi kuwa balozi wa Tanzania katika Marekani pamoja na Meksiko, aliwakilisha Tanzania pia kwenye Umoja wa Mataifa pamoja na Kanada na kati ya miaka 2006–2011 alikuwa katibu mtendaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Kanda la Maziwa Makuu ya Afrika.

                                     

1. Maisha binafsi

Liberata Rutageruka alizaliwa huko Muleba, mkoa wa Kagera.

Alihitimu shahada ya uzamili katika somo la siasa kwenye Chuo Kikuu cha St. John’s, New York mwaka 1980 na pia kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mnamo 1989.

Ameolewa na George Mulamula ana watoto wawili, Tanya na Alvin.

Users also searched:

liberata mulamula, washington. liberata mulamula,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →