Back

ⓘ Historia ya Honduras inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Honduras. Honduras ilikuwa sehemu ya maeneo ya Wamaya, lakini miji yao ilikwisha tayari, kabla ..Historia ya Honduras
                                     

ⓘ Historia ya Honduras

Historia ya Honduras inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Honduras.

Honduras ilikuwa sehemu ya maeneo ya Wamaya, lakini miji yao ilikwisha tayari, kabla ya kufika kwa Wahispania.

Kristoforo Kolombo alifika mwaka 1502 karibu na Trujillo katika kaskazini na kuita nchi "Honduras" kwa Kihispania "vilindi" kwa sababu ya maji marefu mwambaoni.

Miaka 1524 na 1525 Wahispania walianza kuvamia nchi wakaunda mji wa Comayagua mwaka 1540. Mji mkuu wa leo ulianzishwa mwaka 1579 kama kituo cha kuchimba madini kama dhahabu na fedha.

Mwaka 1821 Honduras ilijiunga na ghasia ya maeneo mengine ya Amerika ya Kati dhidi ya utawala wa Hispania. Mwanzoni nchi hizo ndogo zilijiunga na Meksiko lakini baada ya miaka miwili zilianzisha "Shirikisho la Amerika ya Kati" lililokwisha mwaka 1839.

Tangu mwaka huo Honduras imekuwa nchi ya kujitegemea kabisa.

                                     
 • Honduras ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Guatemala, El Salvador na Nikaragua. Upande wa kusini ina pwani fupi ya Pasifiki na upande wa kaskazini
 • Belize ni nchi ya Amerika ya Kati upande wa pwani ya mashariki. Inapakana na nchi za Mexiko, Guatemala na Honduras Makao makuu yako Belmopan, lakini
 • Kisardinia na Kiitalia. Costa Rica Cuba El Salvador Jamhuri ya Dominika Guatemala Honduras Mexico Nicaragua Panama Puerto Rico Argentina Bolivia Chile
 • Cerro Las Minas ni mlima wa Honduras katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 2, 870 juu ya UB. Orodha ya milima
 • Amerika ya Kati, lakini yenye msongamano mkubwa zaidi, ikiwa na wakazi 6, 290, 420 katika km2 21, 040. Imepakana na Guatemala, Honduras na bahari ya Pasifiki
 • za shingo ya nchi kati ya Marekani na Kolombia pamoja na visiwa vya Karibi. Kwenye shingo hiyo kuna nchi zifuatazo: Belize Guatemala Honduras El Salvador
 • Tegucigalpa Tegus kwa kifupi ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Honduras Ina wakazi zaidi ya milioni moja. Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1578 kwa jina
 • Mogotón ni mlima wa Nikaragua na Honduras katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 2, 438 juu ya UB. Orodha ya milima
 • ghuba ya Honduras Bahari hii inajulikana kwa miamba yake ya tumbawe ambayo ni mazingira ya aina nyingi za mimea, samaki na kasa. Miamba ya tumbawe ni
 • Magharibi, na Atlantiki upande wa Mashariki, tena na nchi za Mexiko, Belize, Honduras na El Salvador. Eneo lake ni km2 108, 890 ambamo wanaishi watu 15, 806, 675
 • ustaarabu uliostawi kusini mwa Meksiko ya leo rasi ya Yucatan pamoja na Gwatemala, Belize na sehemu za Honduras na El Salvador kuanzia mwaka 2000 hivi
                                     
 • Nikaragwa ni nchi ya Amerika ya Kati yenye wakazi 6, 071, 045 2012 Imepakana na Honduras na Kosta Rika upande wa magharibi ni pwani ya Pasifiki na upande
 • California. Kusini mwa Meksiko milima ya kordilera inaendelea katika Amerika ya Kati, yaani huko Guatemala, Honduras Nicaragua, Costa Rica na Panama. Kuanzia
 • Kanada Marekani Maungano wa Madola ya Amerika Meksiko Maungano a Madola ya Mexiko Belize Guatemala Honduras El Salvador Nikaragua Kosta Rika Panama
 • 1524 aliyefanya Nikaragua kuwa koloni ya Hispana akawa meye ya kwanza wa mji wa Leon Nikaragua Kupitia Honduras alisafiri kwenda Peru alipojiunga na
 • Uarabuni Honduras Liberia, Nikaragua, Panama, Peru, Poland, Ureno, Romania, Ufalme wa Yugoslavia, Uthai, Chekoslovakia na Uruguay. Mashariti ya mkataba
 • Honduras Nikaragua, Costa Rica, visiwa vya Karibi, Ufilipino na visiwa mbalimbali katika Pasifiki pamoja na maeneo yaliyo leo majimbo ya kusini ya Marekani
 • Kusini 1525 hadi Gwatemala, Honduras na Nikaragua, na Kaskazini 1527 katika maeneo ambayo sasa ni Marekani Kusini. Kanda ya Mexico iliyoanzishwa mwaka
 • intercontinental Tegucigalpa, mjini Honduras Real intercontinental San Pedro Sula, mjini San Pedro Sula, Honduras Verkliga intercontinental Managua Metrocentro
 • Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007. Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya kutangaza
 • Djibouti una historia ndefu, kwanza unaonekana katika Pembe la Afrika wakati wa zama za uhai wa mtume Muhammad. Leo hii, asilimia 94 ya wakazi wa Djibouti
 • baadaye kuwa nchi za Guatemala, Honduras El Salvador, Nikaragua na Costa Rica. Mwaka 1835 Marekani ilijaribu kununua maeneo ya Texas na Kalifornia lakini
 • se Tikal Honduras Marais ya Honduras Maya wafalme wa Xukpi, se Copán Nikaragua Marais wa Nikaragua Panama Marais wa Panama Kanada Ofisi ya wamiliki wa
                                     
 • ikiwa bado inaheshimu uhusiano na uwepo wa Ukristo nchini humo. Historia ya Armenia Imarati ya Armenia Waajemi wa Armenia Ter - Ghewondyan, Aram 1976 The
 • Islands Ulaya Bara: Estonia, Ujerumani, Uholanzi, Denmark, Uswidi, Uswisi Honduras Jamaika Nikaragua Afrika Kusini Surinam Kanisa la Moravian Jimbo la Rukwa
 • nchini Burkina Faso zamani Volta ya Juu una historia ndefu sana. Kulingana na sensa iliyofanywa mwaka wa 2006, idadi ya Waislamu nchini humo ni 60.53
 • historia ya Uislamu. Uislamu unasemekana kufika mjini Manipur Kaskazini mashariki mwa India mwaka 615 kupitia mjini Chittagong ambayo ni sehemu ya pwani
 • machimbo ya dhahabu, fedha na shaba ambapo sarafu zake ziliokotwa zenye tarehe za kuanzia 830 wakati wa machimbo hayo kwenye miaka ya 1980. Historia ya Uislamu
 • ya Mercantile ya India est 1893 iliinunua benki hii. HSBC kwa upande mwingine iliinunua Benki Mercantile mwakani 1959. Kwa sababu hii ya historia
 • pamoja na kuimarisha sekta ya uchumi nchini. Jina la benki kwa ufupi ni CBK Benki Kuu ya Kenya ilianzishwa mwaka 1966 baada ya kufutwa kwa East Africa

Users also searched:

historia ya honduras, hispania. historia ya honduras,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →