Back

ⓘ Historia ya Panama inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Panama. Baada ya ukoloni wa Hispania Panama ilikuwa sehemu ya kaskazini ya Kolombia. Majaribio mb ..Historia ya Panama
                                     

ⓘ Historia ya Panama

Historia ya Panama inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Panama.

Baada ya ukoloni wa Hispania Panama ilikuwa sehemu ya kaskazini ya Kolombia. Majaribio mbalimbali ya uasi dhidi ya Kolombia kwa shabaha ya kuwa nchi ya pekee katika karne ya 19 hayakufaulu.

Mabadiliko makubwa yaliletwa na ujenzi wa mfereji wa Panama.

Utangulizi wake ulikuwa reli kutoka Colon upande wa Karibi kwenda mji wa Panama upande wa Pasifiki iliyojengwa mwaka 1855. Reli hii ilirahisisha safari kati ya Atlantiki na Pasifiki kwa watu na bidhaa kuelekea Kalifornia. Watu wengi walikwenda Kalifornia miaka ile kwa sababu ya dhahabu iliyopatikana kule tangu mwaka 1848 na hapakuwa na reli kati ya pwani zote mbili za Marekani wakati ule.

Wakati wa mwisho wa karne ya 19 Marekani ilianza kujenga mfereji kati ya bahari mbili wa kukata shingo la nchi. Serikali ya Marekani iliona umuhimu wa kutawala njia hii. Ikasaidia Wapanama waliotaka kujitenga na Kolombia kwa kutuma manowari Colon iliyozuia jitihada za Kolombia za kukandamiza ghasia hiyo.

Tarehe 3 Novemba 1903 Panama ilitangaza uhuru wake na kufanya mkataba na Marekani. Panama ilikodisha mlia wa nchi kwa pande zote mbili za mfereji kwa Marekani; Marekani iliahidi kutunza uhuru wa Panama.

Hali halisi ukanda wa mfereji ilikuwa eneo la Kimarekani hadi 31 Desemba 1999 iliporudishwa kwa serikali ya Panama.

                                     
 • Panama ni nchi ya mwisho kusini mwa Amerika ya Kati. Shingo ya nchi ya Panama hutazamwa kuwa mpaka kati ya bara la Amerika ya Kaskazini na lile la Amerika
 • Mfereji wa Panama ni njia ya maji nchini Panama Amerika ya Kati kati ya Bahari ya Pasifiki na Bahari ya Atlantiki. Shingo ya nchi la Panama ni njia fupi
 • hii inahusu mwaka 1999 BK Baada ya Kristo 31 Desemba - Eneo la mfereji wa Panama limerudishwa kwa serikali ya Panama kutoka kwa utawala wa Marekani 30
 • Magharibi, na Bahari ya Atlantiki upande wa Mashariki. Kaskazini inaunganika na Amerika ya Kaskazini kwa njia ya shingo ya nchi ya Panama Neno Amerika limetokana
 • Makala hii inahusu mwaka 1671 BK Baada ya Kristo Denmark hupata kisiwa cha St Thomas kama ukoloni. Mji wa Panama umeharibiwa na mharamia Henry Morgan
 • na Kiitalia. Costa Rica Cuba El Salvador Jamhuri ya Dominika Guatemala Honduras Mexico Nicaragua Panama Puerto Rico Argentina Bolivia Chile Colombia Ecuador
 • Panama linarudishwa kwa serikali ya Panama kutoka kwa utawala wa Marekani 1378 - Papa Callixtus III 1491 - Jacques Cartier, mpelelezi wa Amerika ya Kaskazini
 • mkataba wa Cordoba 28 Novemba - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikawa sehemu ya nchi Kolombia chini ya Simon Bolivar. 21 Januari - John Breckinridge
 • nchi kwenye pembe la kaskazini la Amerika ya Kusini. Imepakana na Venezuela, Brazil, Ekuador, Peru na Panama Ina pwani mbili, kwenye Pasifiki na Atlantiki
 • ya 16 na katika karne ya 17 hao wakwanza walifuatwa na Waholanzi, Waingereza na Wafaransa. 1513: Vasco Núñez de Balboa avuka Shingo ya nchi ya Panama
 • Costa Rica Panama Meksiko si sehemu ya shingo la nchi lakini kwa sababu za kihistoria na kiutamaduni mara nyingi huhesabiwa katika Amerika ya Kati Pia kuna
                                     
 • Mlima Baru ni mlima wa volkeno nchini Panama katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 3, 470 juu ya UB. Orodha ya milima
 • Cerro Fábrega ni mlima wa Panama katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 3, 335 juu ya UB. Orodha ya milima
 • unaofupisha safari za meli kati ya Ulaya na Asia. Kati ya mifereji muhimu ya kimataifa kuna Mfereji wa Panama unaoruhusu kupita kati ya Atlantiki na Pasifiki pamoja
 • Tajiri ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Nikaragua na Panama kuna pwani ya Pasifiki upande wa magharibi na pwani ya Bahari ya Karibi upande wa
 • Surinam 7010 2000 Panama 6000 1981 Brunei 3000 2004 Kamboja 500 2011 Polinesia ya Kifaransa 100 2015 lugha ya Kichina ya Hakka kwenye Multitree
 • siku ya 332 ya mwaka ya 333 katika miaka mirefu Mpaka uishe zinabaki siku 33. 1821 - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikiwa sehemu ya nchi
 • Makala hii inahusu mwaka 1903 BK Baada ya Kristo 4 Agosti - Uchaguzi wa Papa Pius X 3 Novemba - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Kolombia. 11 Januari
 • Tarehe 3 Novemba ni siku ya 307 ya mwaka ya 308 katika miaka mirefu Mpaka uishe zinabaki siku 58. 1903 - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Kolombia
 • Intercontinental Miramar Panama katika mji wa Panama Panama Intercontinental Playa Bonita Resort & Spa, katika mji wa Panama Panama Intercontinental Cali
 • kikoloni la Hispania katika kaskazini ya Amerika Kusini kati ya 1717 na 1822. Leo hii nchi za Venezuela, Kolombia, Panama na Ekuador zimechukua nafasi yake
                                     
 • mashindano ya kombe la dunia ya fifa 2014.Iceland na panama hii ni mara yao ya kwanza huku Iceland akifahamika kuwa nchi yenye idadi ndogo sana ya watu kufanikiwa
 • mwa Meksiko milima ya kordilera inaendelea katika Amerika ya Kati, yaani huko Guatemala, Honduras, Nicaragua, Costa Rica na Panama Kuanzia huko inaendelea
 • 2008 Archived Machi 24, 2019 at the Wayback Machine. WYD Kraków 2016 WYD Panama 2019 WYD page from United States Conference of Catholic Bishops World Youth
 • linalozunguka sehemu ya kusini ya Amerika Kusini bara. Kabla ya kujengwa kwa Mfereji wa Panama njia ya rasi Hoorn ilikuwa njia muhimu kwa meli kati ya bahari mbili
 • Maungano wa Madola ya Amerika Meksiko Maungano a Madola ya Mexiko Belize Guatemala Honduras El Salvador Nikaragua Kosta Rika Panama Meksiko mara nyingi
 • kwenda Amerika katika koloni mpya za Hispania. Alipokaa miaka kadhaa katika Panama Pizarro alisikia habari za nchi tajiri katika kusini iliyoitwa Piru Alifanya
 • Afrika ya Mashariki. Zipatao meli 15, 000 zinapita kwenye mfereji kila mwaka. Mafanikio ya mfereji wa Suez yalihamasisha mianzo ya Mfereji wa Panama Mfereji
 • fulani ya Ukristo: Argentina Costa Rica Liechtenstein Malta Monaco Vatican City Kitheokrasi Nyingine Andorra Dominican Republic El Salvador Panama Paraguay
 • Liberia, Nikaragua, Panama Peru, Poland, Ureno, Romania, Ufalme wa Yugoslavia, Uthai, Chekoslovakia na Uruguay. Mashariti ya mkataba yalikuwa makali

Users also searched:

historia ya panama, hispania. historia ya panama,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →