Back

ⓘ Historia ya Kosta Rika inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Kosta Rika. Kabla ya kufika kwa Wahispania katika karne ya 16, nchi ilikaliwa na Waindio wach ..Historia ya Kosta Rika
                                     

ⓘ Historia ya Kosta Rika

Historia ya Kosta Rika inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Kosta Rika.

Kabla ya kufika kwa Wahispania katika karne ya 16, nchi ilikaliwa na Waindio wachache.

Mwaka 1821 koloni hilo lilijiunga na ghasia ya maeneo mengine ya Amerika ya Kati dhidi ya utawala wa Hispania.

Mwanzoni nchi hizo ndogo zilijiunga na Meksiko lakini baada ya miaka miwili zilianzisha "Shirikisho la Amerika ya Kati" lililokwisha mwaka 1839.

Tangu mwaka 1847 Kosta Rika imekuwa nchi ya kujitegemea kabisa.

Mwaka 1948 kulitokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo viliwahi kwisha. Mwaka uliofuata nchi ilifuta kabisa jeshi hadi leo.

                                     
 • Kosta Rika kwa Kihispania: Costa Rica, yaani Pwani Tajiri ni nchi ya Amerika ya Kati. Imepakana na Nikaragua na Panama kuna pwani ya Pasifiki upande
 • San José ni mji mkuu wa Kosta Rika Iko katikati ya nchi kwenye kimo cha 1, 170 meters juu ya UB. Mji ulikuwa na wakazi 309, 672 mwaka 2000. San José ilikuwa
 • kubwa zaidi katika Amerika ya Kati. Liko kusini mwa Nikaragua, karibu na mpaka na Kosta Rika Ziwa hilo linapokea sehemu ya maji yake kutoka Ziwa Managua
 • Ventisqueros ni mlima wa Kosta Rika katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 3, 812 juu ya UB. Orodha ya milima
 • Chirripó ni mlima wa Kosta Rika katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 3, 820 juu ya UB. Orodha ya milima
 • Volcán Irazú ni mlima wa volkeno nchini Kosta Rika katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 3, 432 juu ya UB. Orodha ya milima
 • Volcán Arenal ni mlima wa volkeno nchini Kosta Rika katika Amerika ya Kati. Una kimo cha mita 1, 657 juu ya UB na bado ni hai. Orodha ya milima
 • Amerika ya Kusini. Imepakana na Kosta Rika na Kolombia pwani ya Bahari ya Karibi iko upande wa kaskazini na pwani ya Pasifiki upande wa kusini. Nchi
 • Nikaragwa ni nchi ya Amerika ya Kati yenye wakazi 6, 071, 045 2012 Imepakana na Honduras na Kosta Rika upande wa magharibi ni pwani ya Pasifiki na upande
                                     
 • Maungano wa Madola ya Amerika Meksiko Maungano a Madola ya Mexiko Belize Guatemala Honduras El Salvador Nikaragua Kosta Rika Panama Meksiko mara
 • ya Kaskazini na Kosta Rika Huko Panama pia walisema watahalalisha ndoa ya jinsia moja. Inter - American Court of Human Rights Mahakama ya Amerika ya
 • zaidi katika historia Ni Kombe la kwanza la Dunia kutumia teknolojia ya video kumsaidia mwamuzi VAR Jumla ya timu 32 zishiriki michuano ya Kombe la Dunia
 • wakitegemea maarifa ya kanisa hili dogo lenye historia kubwa ya kimisionari. Awali Wamoravian walisita, lakini wakati huohuo walipokea zawadi kubwa ya fedha kutoka

Users also searched:

historia ya kosta rika, hispania. historia ya kosta rika,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →