Back

ⓘ Mwanadiplomasia ni mtu aliyeteuliwa rasmi na serikali kuiwakilisha katika nchi nyingine. Taasisi za kimataifa zinazotambuliwa kama vile Umoja wa Mataifa huwa pi ..Mwanadiplomasia
                                     

ⓘ Mwanadiplomasia

Mwanadiplomasia ni mtu aliyeteuliwa rasmi na serikali kuiwakilisha katika nchi nyingine. Taasisi za kimataifa zinazotambuliwa kama vile Umoja wa Mataifa huwa pia na wanadiplomasia.

                                     

1. Kazi

Kazi kuu za mwanadiplomasia ni uwakilishi wa masilahi ya nchi yake pamoja na raia wa nchi inayotuma. Mwanadiplomasia anatekeleza kazi katika jengo la ubalozi wa nchi yake au kama mjumbe wa utume wa kidiplomasia, mara nyingi pia katika Wizara ya Mambo ya Nje kwake nyumbani. Akiwa na cheo cha kuongoza ubalozi.

                                     

2. Haja ya kutambuliwa rasmi

Mkataba wa Vienna juu ya Mahusiano ya Kidiplomasia wa mwaka 1961 unaeleza utaratibu unaokubaliwa na nchi zote za Dunia. Mwanadiplomasia anahitaji kibali cha nchi anakotumwa. Nchi anapotumwa inaweza kufuta kibali chake siku yoyote kwa kumtangaza ni "persona non grata", yaani kwamba hatakiwi tena.

                                     

3. Kinga cha kidiplomasia

Ndani ya nchi anakotumwa ana kinga cha kidiplomasia; maana yake hawezi kukamatwa kwa mashitaka, makosa au hata jinai. Anasamehewa kodi na ushuru wote kwa mahitaji yake ya kikazi na ya binafsi.

Sehemu ya kinga hiyo ni hali ya jengo la ubalozi pamoja na nyumba anamoishi balozi kuhesabiwa kuwa "nje ya nchi" extraterritorial ; mtu yeyote pamoja na maafisa wa polisi hawaruhusiwi kuingia bila kibali cha balozi mwenyewe. Kwa hiyo majengo ya kibalozi yalitumiwa wakati mwingine kuhifadhi wakimbizi waliotafutwa na serikali ya nchi yao.

                                     

4. Vyeo

Mwanadiplomasia kiongozi katika nchi fulani kwa kawaida anaitwa "balozi". Akikaimu tu ataitwa "charge daffaires". Kwa Kiingereza kuna tofauti kati ya "ambassador" na "high commisioner" ambayo ni cheo cha mabalozi kati ya nchi ambazo ni wanachama wa Jumuiya ya Madola Commonwealth.

                                     

5. Kusoma zaidi

 • Fredrik Wesslau, Kitabu cha Washauri wa Kisiasa 2013,
 • Nicolson, Sir Harold George. Mageuzi ya Njia ya Kidiplomasia 1977
 • Berridge, Diplomasia ya GR: Nadharia na Mazoezi, toleo la 3, Palgrave, Basingstoke, 2005,
 • Rana, Kishan S. Balozi wa Karne ya 21: Mamlaka ya Udhamini kwa Mtendaji Mkuu DiploFoundation, 2004,
 • Nyeusi, Jeremy. Historia ya Diplomasia U. ya Chicago Press, 2010
 • Cunningham, George. Safari ya Kuwa Mwanadiplomasia: Na Mwongozo wa Kazi katika Maswala ya Ulimwengu Vitabu vya Maono ya Duniani 2005,
 • Wicquefort, Abraham de. Balozi na Kazi zake 2010
 • Anderson, Matthew S. Kupanda kwa Diplomasia ya Kisasa, 1450-1919 1993.
 • Stevenson, David. "Wanadiplomasia" katika Jay Winter, ed. Historia ya Cambridge ya Vita vya Kwanza vya Ulimwengu: Juzuu ya II: Jimbo 2014 juzuu ya 2 sura ya 3, uk.
 • Rana, Kishan S. na Jovan Kurbalija, eds. Wizara za Kigeni: Kusimamia Mitandao ya Kidiplomasia na Kuongeza Thamani ya DiploFoundation, 2007,
 • Callieres, Francois De. Mazoezi ya Diplomasia 1919.
 • Dorman, Shawn, mh. Ndani ya Ubalozi wa Merika: Jinsi Huduma ya Mambo ya nje inavyofanya kazi kwa Amerika na Chama cha Huduma za Kigeni za Amerika, toleo la pili Februari 2003,
 • Ernest Satow. Mwongozo wa Mazoezi ya Kidiplomasia na Longmans, Green & Co London na New York, 1917. Kitabu cha kawaida cha rejea kinachotumiwa katika balozi nyingi ulimwenguni ingawa sio za Uingereza Sasa katika toleo lake la tano 1998


                                     
 • Qasym - Jomart Kemeluly Toqaev alizaliwa 17 Mei 1953 ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Kazakhstan. Alianza kazi kama rais wa Kazakhstan tarehe 20 Machi
 • Agosti 1903 - 12 Oktoba 1987 alikuwa afisa wa jeshi la wanamaji, mwanadiplomasia na mwanasiasa wa Uturuki, ambaye aliwahi kuwa Rais wa sita wa Uturuki
 • Ahmet Davutoğlu amezaliwa 26 Februari 1959 ni msomi, mwanasiasa na mwanadiplomasia wa zamani wa Uturuki ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa 26 wa Uturuki
 • za Afrika iliyofanikiwa zaidi. Baada ya urais wake, Chissano alikuwa mhudumu, mjumbe na mwanadiplomasia wa nchi yake ya nyumbani na Umoja wa Mataifa.
 • Ombeni Yohana Sefue alizaliwa 26 Agosti 1954 ni mwanadiplomasia wa Tanzania aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tarehe 31 Desemba 2011. Pia aliwahi
 • wa zamani wa Finland 1994 2000 anafahamika zaidi kwa kuwa kama Mwanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa na msuluhishi. Mwaka wa 2008 amepata Tuzo ya Nobeli
 • mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi katika eneo la nyumba kumi za jirani. Mwanadiplomasia Kevin Croke, Strategies of Single Party Hegemony in Tanzania taarifa
 • Hammarskjöld 29 Julai 1905 - 18 Septemba 1961 alikuwa mchumi na mwanadiplomasia wa Sweden ambaye alitumikia kama Katibu Mkuu wa pili wa Umoja wa Mataifa
 • Institute of Manufacturing TIM Kitaaluma Jennifer ni mwanasheria na mwanadiplomasia Alipata shahada ya kwanza ya Sheria akiwa Tumaini University, Dar
 • Myon Kikorea: 장면 張勉 28 Agosti 1899 - 4 Juni 1966 alikuwa zamani mwanadiplomasia Waziri mkuu, Makamu wa rais wa nchi ya Korea Kusini. Chang Myon alikuwa
 • 1823 - 1899 mwanasiasa wa Australia John S. Service 1909 - 1999 mwanadiplomasia wa Marekani Robert Service mwanahistoria amezaliwa 1947 mwanahistoria
 • Uvuvi, ambaye kwa muda huo alihudumu hadi 1999. Baadaye alikuwa Waziri mwanadiplomasia huko Asia kabla ya kuteuliwa kama Waziri Mkuu, Rosario aliwahi kuwa


                                     
 • Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia. Babake, Josef Korbel, ambaye alikuwa mwanadiplomasia alikuwa Mcheki wa Kiyahudi na muungaji mkono wa Wademokrati wa mapema
 • Rais wa sasa wa Ethiopia na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo. Mwanadiplomasia kwa kazi, alichaguliwa kama rais kwa hiari na wajumbe wa Bunge la Shirikisho
 • K. Palangyo 1939 - 18 Januari 1993 alikua mwandishi wa riwaya na mwanadiplomasia Sifa yake iliangukia kwenye riwaya yake ya Dying in the Sun 1968
 • Machi 2006 katika mji mkuu wa Muskat Omani alikuwa mwanasiasa, mwanadiplomasia na mshairi kutoka nchi ya Zanzibar chini ya Usultani wa Zanzibar.
 • Liberata Mulamula amezaliwa 10 Aprili 1956 ni mwanadiplomasia wa Tanzania na tangu Machi 2021 waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki
 • kushoto ambaye anaweza pia kucheza upande wa kushoto wa uwanja. Mwana wa mwanadiplomasia Evra alizaliwa mjini Dakar, Senegal, na aliwasili Ulaya kupitia Brussels
 • John Garang, Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Joseph Obgeb Jimmy, mwanadiplomasia wa Namibia Asha - Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa
 • ya Pan - Afrika wakati akiwa katika ziara za kibiashara huko Kongo, mwanadiplomasia Mrusi - Muarmenia Ashot Melik - Shahnazaryan alipata wazo la kuanzisha
 • inayopokea ubalozi na wanadiplomasia wake. Kifungu cha 9: Nchi iliyompokea mwanadiplomasia inaweza kumtangaza wakati wowote na kwa sababu yoyote kuwa mtu asiyetakiwa
 • Kiorthodoksi la Serbia 1219 mtunzi wa sheria za Serbia Zakonopravilo na mwanadiplomasia Kwa kufanya hivyo aliipatia nchi yake uhuru wa kisiasa na wa Kikanisa
 • Waghana wana vyeo katika mashirika ya kimataifa. Hawa ni pamoja na mwanadiplomasia Mghana na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, Jaji
 • mwandishi wa kusafiri. Baba yake, Sir Benegal Rama Rau, alikuwa ni mwanadiplomasia wa Uhindi na balozi pia. Mama yake alikuwa Dhanvanthi Rama Rau, alikuwa
                                     
 • Tanzania. Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne wa mwanadiplomasia Abraham Sepetu. Alianza elimu ya msingi na hadi sekondari amesomea
 • Roberto. Milosevic alikuwa na kaka yake ambaye baadaye alikuja kuwa Mwanadiplomasia Baba yake Milosevic alijiua mwaka 1962. Pia mama yake aliyekuwa akifahamika
 • Jammeh alimpa talaka wakati alipoanza mapenzi na Zeinab Souma, binti wa mwanadiplomasia kutoka Guinea.Alimwoa Zeinab Suma mwaka 1999 wakiwa na watoto wawili
 • Kiswahili - Kiarabu isiyokamilika. Alihudumu pia kama mshauri wa kisiasa, balozi, na mwanadiplomasia huko Somalia, visiwa vya Komoro, maeneo ya mto Rovuma, na maeneo mengine
 • Constant Gardener iliyoshinda tuzo la Oscar na kwenya maisha halisi kama mwanadiplomasia wa Shirika la Umoja wa Mataifa, Jacques Roger Boh - Boh, katika Shake
 • Kikuu cha Makerere Chuo Kikuu cha Columbia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Fani yake mwandishi wa habari, mwanadiplomasia dini Ukristo Kanisa Katoliki

Users also searched:

mwanadiplomasia, kama. mwanadiplomasia,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →