Back

ⓘ Irini Merkouri. Mnamo Julai 7, 2005, Merkouri aliachia albamu yake ya studio, iliyoitwa Aneta Kwa raha. Ilikuwa na nyimbo kutoka kwenye albamu zake zilizopita n ..                                     

ⓘ Irini Merkouri

Mnamo Julai 7, 2005, Merkouri aliachia albamu yake ya studio, iliyoitwa "Aneta" Kwa raha. Ilikuwa na nyimbo kutoka kwenye albamu zake zilizopita na pia nyimbo mpya.http: Mwaka 2006 ulileta albamu ya studio ya nne ya Merkouri, iliyoitwa Argises Ulichelewa. Ilikuwa na nyimbo 13 mpya ikijumuisha nyimbo kama "Pame GiAlla" na "Miso Lepto" ambazo zikawa kipande cha video. Christos Pazis ameshirikiana na Merkouri inaitwa "Argises"

Merkouri alimaliza mwaka 2007 akiwa ametoa wimbo ulioko kwenye CD ukiitwa "Nai" Ndio. Ilikuwa na nyimbo mbili "Nai" na "Kane Ena Tsigaro". "Nai" ulitengenezwa kipande cha video, na wimbo ulifika nafasi ya pili kwenye chati za nyimbo za IFPI kwa Ugiriki.

Muda mfupi baadae, Merkouri alirekodi albamu kwenye studio za Sony BMG Greece. Baada ya kutofautiana ndani na Sony BMG, Merkouri alitoa taarifa kukatisha mahusiano na lebo mnamo 2009, na haijulikani nini kitakachotokea na kazi ambazo hazikutolewa. Merkori alisaini na lebo mpya iliyoanzishwa E.DI.EL mnamo 2009, ambayo baadae ilibadilisha jina na kuwa 4Music. Mnamo katikati mwa 2009 Merkouri kidigitali aliachia wimbo "Parakseno Agori".

                                     
  • Ulichelewa ni albamu ya mwisho kutolewa na mwimbaji maarufu wa Kigiriki, Irini Merkouri Iliachiwa Ugiriki mnamo Novemba 2006 na Sony BMG Greece. Kati Trehi

Users also searched:

irini merkouri, mkali. irini merkouri,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →