Back

ⓘ Imamu ni istilahi ya Kiarabu yenye maana mbalimbali. Mara nyingi inamtaja kiongozi wa Kiislam, kama kiongozi wa msikiti au wa jamii. Maana ya msingi ni yule ana ..Imamu
                                     

ⓘ Imamu

Imamu ni istilahi ya Kiarabu yenye maana mbalimbali. Mara nyingi inamtaja kiongozi wa Kiislam, kama kiongozi wa msikiti au wa jamii. Maana ya msingi ni yule anayetoa mwongozo akistahili kufuatwa; kwa maana isiyo ya kidini neno hili linaweza kutaja pia timazi au kamba inayotumiwa kuelekeza mwendo wa matofali wakati wa kujenga nyumba au ukuta.

Imamu anaitwa yule anayeongoza sala wakati wa swala ya Kiislamu.

                                     

1. Wasunni

Kati ya Wasunni istilahi hilo linatumiwa kumtaja mtaalamu wa kidini, mara nyingi kama cheo cha heshima kwa waanzilishi wa madhab nne za Wasunni yaani Hanafi, Maliki, Shafii na Hanbali.

                                     

2. Washia

Kati ya Waislamu Washia "imamu" ni hasa yule kiongozi mmoja wa waumini anayetoka katika familia ya Mtume Mohammed. Kwa Washia Waismaili imamu ndiye Aga Khan. Kwa Washia Waithnashara maimamu ni hasa wafuasi 12 wa Muhammad kuanzia Ali ibn Abu Talib na watoto pamoja na wajukuu wake hadi Muhammad ibn al-Hassan anayeaminiwa kuwa imamu wa sasa aliyeingia katika hali ya kujificha wakisubiri kurudi kwake atakapoonekana tena.

Huko Iran pia Ruhollah Khomeini anaitwa "imamu" kwa matamshi yao "emam"

                                     

3. Tovuti za nje

 • Graphical illustration of the Shia sects Archived 2004-10-25 at the Wayback Machine
 • The Imam Movie
 • List of Sunni Imams
 • Detailed description of the Shiite belief
                                     
 • maimamu mbalimbali. Washia waligawanyika baada ya imamu wa sita Ismail ibn Dschafar kuhusu swali ni nani imamu halali wa saba. Kutokana na farakano hili vikundi
 • Aga Khan Kifarsi: آقا خان ni cheo cha imamu au kiongozi wa Wanizari ambao ni kundi kubwa la pili ndani ya Waislamu Washia wakihesabiwa katika dhehebu
 • wakazi wote nchini. Sehemu kubwa ya Waislamu wa Moroko ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuta mafundisho ya imamu Maliki. Islam by country Uislamu kwa nchi
 • walikutana wakamchagua tena imamu Baada ya vita ya miaka 7 pande mbili zilipatana mwaka 1920 kugawa nchi: upande wa imamu ulikubali kutoshambulia tena
 • Waumini wengi nchini ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki, lakini idadi ndogo kabisa ni Ibadhi. 1994 The Failure of Political
 • inahusu mwaka 600 Baada ya Kristo Ali ibn Abu Talib atakayekuwa mkwe wa Mtume Muhammad, khalifa wa nne wa Uislamu na imamu wa kwanza wa Shia mjini Makka
 • walikutana wakamchagua tena imamu Baada ya vita ya miaka 7 pande mbili zilipatana mwaka 1920 kugawa nchi: upande wa imamu ulikubali kutoshambulia tena
 • ya Waislamu wa Mali ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Imamu Maliki, wenye athira ya Usufii.Matawi ya Ahmadiyya na Shia nayo yapo. Uislamu
 • ya Waislamu nchini humo ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki wakiwa na athira kiasi za Usufii. International Religious Freedom


                                     
 • kaburi la Fatima Masumeh, aliyekuwa binti wa imamu wa saba wa Washia na dada wa Imam Reza anayeheshimiwa kama imamu wa nane wa Washia. Leo hii Ghom ni mashuhuri
 • 4 هـ - 10 محرم 61 هـ alikuwa mjukuu wa Mtume Muhammad akitazamwa kama imamu wa kwanza wa Washia. Alizaliwa mjini Makka, baba yake alikuwa Ali ibn Abi
 • Kufah Irak alikuwa mkwe wa mtume Muhammad, khalifa wa nne wa Uislamu na imamu wa Shia wa kwanza. Alikuwa pia baba wa wajukuu wa pekee wa mtume. Aheshimiwa
 • wavulana wawili na mabinti wanaokumbukwa: Hasan ibn Ali imamu wa pili wa Shia Husain ibn Ali imamu wa tatu wa Shia Zainab bint Ali Umm Kulthum bint Ali
 • kubwa ya waumini wa ni wafuasi wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki, wenye athira kubwa ya Usufi. Vilvile kuna baadhi ya taasisi za Shia
 • Kaskazini na Yemen Kusini. Ile ya kaskazini ilikuwa Ufalme wa Yemen baada ya Imamu Yahya Muhamad wa kundi la Zaidiya kuvamia velayat ya Yemen ya milki ya Waturuki
 • Shah Karim Al Hussaini, Aga Khan IV ni Imamu wa 49 na wa sasa wa Nizari Ismailia, dhehebu la Ismailia katika Uislamu wa Shia. Tovuti kuhusu Karim Aga
 • kubwa ya waumini wake ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Maliki wakiwa na athira za Usufi. Uwepo wa Uislamu nchini humo ulianza tangu
 • Kaskazini na Yemen ya Kusini. Ile ya kaskazini ilikuwa Ufalme wa Yemen baada ya Imamu Yahya Muhamad wa kundi la Zaidiya kuvamia velayat ya Yemen ya milki ya Waturuki
 • 2007 Waislamu wa Nigeria ni wa dhehebu la Sunni wanaofuta mafundisho ya imamu Maliki, ambao pia hufuata utawala wa sheria ya Kiislamu, yaani, Sharia.
 • dini ya Uislamu, ambapo lengo kuu ni kutekeleza wajibu wa sala chini ya imamu Hata hivyo ukumbi unaweza kutumika pia kwa kuelimishana na kujadiliana
                                     
 • kifo cha Hussein ibn Ali mjukuu wa Mtume Muhammad anayeheshimiwa kama Imamu wa Washia kwenye mapigano ya Kerbela. Kwa jumla Washia wanaangalia Muharram
 • hapo kifo cha Hussein ibn Ali, mjukuu wa mtume Muhamad, aliyekuwa kwao imamu na mfuasi halali wa mtume katika uongozi wa umma wa Waislamu. Hussein alikufa
 • Waislamu wa Mozambique ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya imamu Shafi, japokuwa kuna Waislamu wachache wa dhehebu la Shia ambao pia wamejisajili
 • hakuna ukuhani, hivyo uongozi unategemea tu elimu ya dini: kuna mufti, imamu ustadhi n.k. Aston, Nigel. Religion and revolution in France, 1780 - 1804
 • wa Waislamu akitazamiwa kama Imam wa Nizari katika jumuiya ya Waismaili. Imamu wa 46 alipewa cheo hiki kama heshima na Shah wa Uajemi wakati wa karne ya
 • Waislamu, kasoro katika sala za masheha tu. Ustadhi Musa Mohammed ndiye imamu mkuu katika msikiti huu. Uislamu nchini Nigeria Abuja National Mosque. ArchNet
 • Hejaz na mwaka 1932 alitangaza Ufalme wa Uarabuni wa Saudia Katika Yemen Imamu Yahya Muhamad wa kundi la Zaidiya alivamia velayat ya Yemen ya Kiosmani
 • lakini wanaamini tofauti na Ithnasheri wakiamini kila imamu ni umbo la Ali aliyerudi ndani yao. Imamu wa mwisho amefichwa - sawa na imani ya Ithanasheri
 • Ithna ashari husheherekea tarehe 15 Shaaban kama sikukuu ya kuzaliwa kwa imamu wao wa 12 na wa mwisho, Muhammad al Mahdi. Ilhali kalenda ya Kiislamu ni
 • Muhammad ibn Hasan al - Mahdi aliyezaliwa tarehe 29 Julai mwaka 869 akawa imamu wa 12 wa Washia, lakini tangu mwaka 874 alifichwa na Allah mbele ya maadui

Users also searched:

imamu, jamii. imamu,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →