Back

ⓘ Frutuoso wa Braga alikuwa mkaapweke wa Hispania, halafu abati, askofu wa Dumio na hatimaye askofu mkuu wa Braga aliyeanzisha na kuongoza monasteri sehemu mbalim ..Frutuoso wa Braga
                                     

ⓘ Frutuoso wa Braga

Frutuoso wa Braga alikuwa mkaapweke wa Hispania, halafu abati, askofu wa Dumio na hatimaye askofu mkuu wa Braga aliyeanzisha na kuongoza monasteri sehemu mbalimbali na kuzipa kanuni zake.

Alizoea kuvaa kifukara kiasi kwamba alidhaniwa ni mtumwa, hata kupigwa bila sababu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Aprili.

                                     

1. Marejeo

  • Iberian Fathers. Writings of Braulio of Saragossa, Fructuosus of Braga, translated by Claude W. Barlow Catholic University of America Press 1969.
  • Thompson, E.A. The Goths in Spain. Clarendon Press: Oxford, 1969.
                                     
  • Optati, Luperki na wenzao, Engrasya, Kayo na Kremensi, Turibi wa Astorga, Frutuoso wa Braga Drogo, Benedikto Yosefu Labre, Bernadeta Soubirous n.k. Wikimedia
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

frutuoso wa braga, kanuni. frutuoso wa braga,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →