Back

ⓘ Berrel Jensen. Berrell Elizabeth Jensen alizaliwa tarehe 22 Machi mwaka 1933. 252015.Anafahamika Sana kwa kazi yake ya shaba ya kuchomea na vyuma vingine, akifa ..                                     

ⓘ Berrel Jensen

Berrell Elizabeth Jensen alizaliwa tarehe 22 Machi mwaka 1933. 252015).Anafahamika Sana kwa kazi yake ya shaba ya kuchomea na vyuma vingine, akifanya maonyesho yake ya kwanza mnamo mwaka 1960. Alihama Afrika kusini kwenda ulaya mnamo mwaka 1968, na baadae akaanzisha kituo Cha kuitengeneza vitu vya Sanaa nchini Ayalandi, pamoja na elimu ya watu wazima na kituo Cha kijamii nchini Uingereza

                                     

1. Maisha ya awali na Elimu

Jensen alizaliwa mnamo mwaka 1933 katika Potchefstroom, Nchini Afrika Kusini. Ana Kaka watatu na kaka wawili wa kambo kutoka kwa ndoa ya zamani ya baba yake.Jensen alihitimu kutoka chuo kikuu cha Natal mjini Durban, ambapo alipata shahada yake sayansi jamii. Mnamo mwaka 1958 alichukua fani ya vyuma na uchomeleaji katika chuo Cha Natal Technical College na kuanza kutengeneza simu za urembo,vinyago kwa kutumia madini jamii ya shaba. Mnamo mwaka 1984 alisoma stashahada ya mipango katika chuo Cha Architectural Association School of Architecture,mjini London.

                                     

2. Maisha binafsi

Mnamo mwaka 1957 Jensen aliolewa na Anton Jensen, mwanafunzi wa Uzamivu, ambapo walifanikiwa kupata watoto wawili, mmoja wa kiume na mmoja wa kike.Kutokana na utawala wa ubaguzi, yeye na mume wake waliamua kutoka Johannesburg kwenda Ulaya. Walisimama Crete, na familia yake ilipata ajali ya gari mwaka 1969, ambapo mume wake alifariki.Jensen na watoto wake waliishi Ugiri na baadae kuhamia Uingereza na mnamo mwaka 1977 alihamia County Donegal, nchini Ayalandi, pale alipokaribishwa na padri James McDyer ili aanzishe kituo Cha sanaa na studio ya kisanaa. Jensen baadae aliishi Belfast alafu London ambapo alifanya kazi ya kijamii, kuendesha kituo cha elimu yaa watu wazima, na vituo vya kijamii zikiwemo Archway, London, Highgate na Hampstead.Alistaafu akiwa Ayalandi, ila aliendelea kufanya kazi ya kuchonga vinyago.

                                     

3. Kazi

Jensen alifanya maonyesho yake ya kwanza mjini Durban mnamo mwaka 1960. Aliwasilisha maonyesho 19 baaada ya miaka nane. alifanya kazi ya kuchomelea vyuma, kwa kutumia nisharti ya oxygen ya kuchomelea na kukata vyuma.

Jensen exhibited in galleries in South:7" />

                                     
  • Berrell Elizabeth Jensen 22 Machi 1933 25 Julai 2015 alikuwa msanii wa sanaa ya uchongaji, mfanyakazi wa mambo ya kijamii na mwalimu kutoka Afrika

Users also searched:

berrel jensen, jamii. berrel jensen,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →