Back

ⓘ Wikipedia:Uharabu. Uharabu ni kuharibu makala za wikipedia kwa makusudi kwa kuongeza habari za uwongo au kuondoa habari sahihi. Msimamo na uadilifu wa Wikipedia ..                                     

ⓘ Wikipedia:Uharabu

Uharabu ni kuharibu makala za wikipedia kwa makusudi kwa kuongeza habari za uwongo au kuondoa habari sahihi. Msimamo na uadilifu wa Wikipedia unahatarishwa na matendo ya aina hii.

Uharabu ni tofauti na mabadiliko yanayoingiza makosa lakini hayaonyeshi nia mbaya.

Nia mbaya inaonekana kama:

  • kuingiza habari bila ukweli kama mzaha au kichekesho
  • kama makala inabadilishwa kwa kuingiza kashfa na matusi
  • matini yote au sehemu kubwa ya matini ya makala ikifutwa tu na makala kuhifadhiwa baadaye bila matini au kubaki na sehemu chache, tena bila maelezo kwenye ukurasa wa majadiliano kutoa sababu
  • kuingiza picha zisizo na uhusiano wowote na mada au kulenga kukashifu kama kuingiza picha za wanyama katika makala kuhusu mtu

Ukijaribu uharabu kwenye wikipedia kubwa kama en.wiki inawezekana utaonywa tu. Hapa kwenye Wikipedia ya Kiswahili utafukuzwa haraka sana. Maana tuko waratibu wachache mno, kwa hiyo tunapendelea kumzuia mtu mara moja kwa wiki, miezi au milele ukionekana unaleta uharabu kwa makusudi.

Kama umebanwa lakini una sababu za kujitetea basi, lete hoja katika ukurasa wa jumuiya au katika ukurasa wa mkabidhi fulani.

Uharabu ukigunduliwa ufutwe.

                                     
  • wachangiaji wenzetu. Isipokuwa uharabu unaoeleweka moja kwa moja unaweza kufutwa mara moja. Wachangiaji wanaoleta uharabu kwa kusudi wanaweza kubanwa kwa
  • zinazolindwa ni makala ambazo mkabidhi wa wikipedia aliamua kuzilinda dhidi ya uharabu Hali ya kulindwa inamaanisha ya kwamba makala haiwezi kubadilishwa kwa
  • wanaweza kubanwa kwa muda fulani au milele. Wako pia watumiaji wanaoleta uharabu kwa kufuta maudhui au kuigiza upuuzi wakionekana wamefanya haya kwa makusudi
  • 14: 06, 31 Machi 2007 UTC Makala hii haielezi kitu kuhusu lugha bali ni uharabu tu. Ifutwe. - - Oliver Stegen 14: 41, 7 Februari 2007 UTC Haya, nimeshaandika

Users also searched:

wikipedia:uharabu, wikipedia:makosa. wikipedia:uharabu,

...

Encyclopedic dictionary

Translation
Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →